Sunday, July 27, 2014

THE AMAZING NIMELIGUZA LYRICS BY PAUL MWAI

(Ooh...mmmmmh)
(Nakutamani..)
(Nakuhitaji sana yesu.. )
(Tegemeo langu)

Niliguza Vazi lako Elohim
Nayo maisha yangu ukayabadilisha
Nimekujua Hosenu
Tena Kanipa uhai bila kulipa

Nie nitaubeba mzigo wako Rabbi
Kwa kuwa mzigo wako ni mwepeasi sana
Nira yako ni laini, Eeh Messiah
Natamani nifanane, nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu, Haubadiliki
Oh Rohi Baba yangu, nakuabudu 
(usiye na mwisho)
Uaminifu wako, hauna kipimo
Nayo matendo yako, ninayajua

(Mungu wa kipekee)
(Asante mungu kwa wema wako)
(Asante kwa utukufu wako)

Nilikuwa mtoto, sasa mi ni mzee
Sijapata siku moja, umenitenga
Nisiwani linda kama mboni lako,
Hesabu ya nywele zangu waielewa

Wewe ndiye Mungu, Haubadiliki
Oh Rohi Baba yangu, nakuabudu 
(usiye na mwisho)
Uaminifu wako, hauna kipimo
Nayo matendo yako, ninayajua

(Maana ninaimba.)
(Utukufu wako wa milele)
(Uaminifu wako hauna kipimo)

Sasa ebenezer, jibu langu
Pumzi uhai wangu, tegemeo langu
Huna mwisho huna mwanzo Yahweh
Natamani nifanane nawe siku zote

Wewe ndiye Mungu, Haubadiliki
Oh Rohi Baba yangu, nakuabudu 
(usiye na mwisho)
Uaminifu wako, hauna kipimo
Nayo matendo yako, ninayajua

(Ndiyo maana ninaimba)
(Uaminifu wako hauna kipimo)
(Wewe Mungu wakipekee)
(Ninatamani nifanane nawe)

Wewe ndiye Mungu, Haubadiliki
Oh Rohi Baba yangu, nakuabudu 
(usiye na mwisho)
Uaminifu wako, hauna kipimo
Nayo matendo yako, ninayajua 

See also: → I love you Lord - Paul Mwai

Share this;